Mtoto wa Kishua
JF-Expert Member
- Oct 15, 2009
- 834
- 152
Ooh na Final Destination 1,2 & 3..
FInal destination kiboko ila hii 4 ni bomu sana, special effect ziko so poor.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooh na Final Destination 1,2 & 3..
Powa powa wajumbe nadowload two to three movies per day may be siku zijzo naweza kufungua ka video library.
Aksanteni sana
Wanajamvi
lets share 10 best movies according to our view tulizotazama ambazo utapendekeza au utapenda great thinkers wote waitafute na kuitazma.
Eyes Wide shut (1999)- Tom cruise na Nicole Kidman . U can guess kuna uhondo gani ndani yake
I recommend ya all to watch john q ya denzel if ya all dont cry......
Awake
The Hunting Party
Just Wright
sex and the city 2
The Hangover
Date Night
Killers
Leap Year
It's Complicated
Mean Girls
The Bounty Hunter
Death at a Funeral
Couples Retreat
Hizi asilimia kubwa ni comedy ila katika zote hapo The Hangover ilinichekesha nusura kuzimia ilinibidi nipose kwanza kwenye tukio moja nicheke takriban dk 2 si mchezo. kuna watu wanajua kutunga events ambazo ukiziangalia zinafurahisha.
My list in
1- john q-denzil washington
2- book of eli- denzil washington
3-karate kid- jack chan n smith's boy
4-senseless (comrdy)
5- inye gwedegwede (comedy)=- king majuto
6- godfather-zote
7- porno movies -zote
8- a reason to kill-
9- why did i get married
10-others
1. Sometimes in April
2. Resident Evil
3. Rush Hour 1,2&3
4. Air Force One
Ndio hiyo mkuu[/COLOR]
ile ya harison ford ndio nzuri zingine hazija simama.