1,TITANIC(based on true event)
naipenda stori yake na teknolojia ya hali ya juu iliotumika kuifanya ionekane halisi kama meli ilivyozama.
2.FINDING NEMO
kama hujui kama kuna move nzuri za cartoon classic hebu jaribu hii inakisa kizuri sana
3,SAVING PRIVATE RYAN(based on true event)
inaaminika dk 15 za mwanzo wa hii move zimeifanya kuwa the best war film of all time, iangalie ujue ubaya wa vita nini.
4,RATE RACE
Thats ma' best comed film, humo utakutana na mr bean, cuba jr, whoopie nk utacheka balaa.
5,TOTSI
movie ya ki south afrika ni nzuri utadhani imefanyiwa tandale, dogo starling alipata award oscar.
6,APOCALYPTO
Kama unataka kujua kabla dunia haija staarabika watu waliishije, na mashujaa walikuwepo angalia hii.
7,JOHN Q
kama unaamini ukifika tu USA basi ume win life, then angalia hii, unaweza shangaa unamwaga mchozi.
8,GREAT ESCAPE au ESCAPING FROM SABIBOR(both based on true events)
ukitaka jua binadamu ana akili za ziada anapopanwa tazama hizi moves uone Jew walichofanya ktk death camp za hitler
9,DADDY'S LITTLE GIRLS
napenda sana move za tyrle perry, ina love story flani powa na maisha ya kitaa, dem mwanasheria maarufu, man msela tu
10,SHAKIRA
kibongo bongo, nimeipenda angalau ray ka act fukara.
ALIVE(based on based event)
Wachezaji wa rugby wa uruguay walipata ajali ya ndege milima yenye barafu wakakaa siku kama 74, full barafu, unataka kujua walichokula kabla ya kuokolewa, itazame.
Dah zipo nyingi sana nashindwa nitaje ipi niache ipi