BET hawako fair

Angekuwa Nominated kama hajulikani Africa? Angekuwa nominated mara mbili mfulilizo? Wangapi wanajulikana Afrika hawajawa Nominated tangu hizi tuzo Zianzee? Acha chuki
 
hajulikani kwako!

blk coffee ni mwanamuziki sio mwimbaji dogo, ni DJ, producer na song writer na concert expert
Ulimpigia kura? Na unauwakika kwamba kashinda kwa kigezo cha wingi wa kura?
 
Ulimpigia kura? Na unauwakika kwamba kashinda kwa kigezo cha wingi wa kura?

sikupiga kura, na sina uhakika kama kashinda kwa kigezo cha kura, ila wenye mashindano ndio wamtangaza, hutaki TAFUTA yako!
 
sikupiga kura, na sina uhakika kama kashinda kwa kigezo cha kura, ila wenye mashindano ndio wamtangaza, hutaki TAFUTA yako!
Wapi nimesema simtaki?
nimekuuliza tu

Hiv ni kigezo kipi kinachotumika kumpata mshindi wa kila kipengele?
 
Wapi nimesema simtaki?
nimekuuliza tu

Hiv ni kigezo kipi kinachotumika kumpata mshindi wa kila kipengele?

hakuna mkuu, na ndio maana kuna wanayoyagomea!....definitely sio kura

ukiona nasisitiza sana au kuwakasirisha sana ni kuwa ifike muda tuone haya mashindano hayana maana kwetu! tukomae na miziki na watu wetu mbona wako vizuri?

lakini kukomaa na kujiandaa na kupiga kura kisha tunalalamika haitujengi

mwaka wa tisa sasa BET kila mwaka inalaumiwa!

wizkid mbona kayapiga chini na aligoma kwenda wala kushiriki japo wali m nominate?
 
BET niliisha acha fatilia toka 2008 baada ya kugundua hizi awards zinalengwa kwa hasa wasanii wapya na mafremason wenzao. Yan wao wanatumia kama platform ya kumkuza mwanamziki fremason ili ajulikane zaid.
 
Hawa ndio wabongo.

1. Akishinda kahonga na akikosa hajui. Ukiwauliza mbona Wizkid,Yemi, A.K.A na casper wamekosa ........... hawana jibu,unapata jibu chuki.

2.Ukiwauliza kama nomineezii hawajui kwa vile hawakushinda je,ambao hawakuwa nominiizi tutawahitaje ............. wanabaki kukuangalia jibu hawana,unapata jibu chuki inawasumbua.

Kumbukeni tsh,10,000/ haipungui thamani yake dhidi ya tsh,500 mpya, kisa eti tsh 10,000/ imechafuka.
 
Ukweli ni kwamba hata Yemi alade anajulikana Africa kuliko Black coffee, achilia mbali Wizzy kid, Diamond na wengineo, kwa Dunia ya Leo ilivyo kijiji ntamshangaa mtu anayesema Black Coffee ni Msanii mkubwa Africa, Emptee tu yule mrangirangi wa Capetown ni maarufu kuliko hata Black Coffee, sema nakubaliana na mtoa mada kuwa lengo la BET labda nikuwa promote up coming artists!
 
Ila umesahau kuweka alama ya mshangao!!! Baada ya kushangaa
Hahahahahahaha [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Black Coffee (born Nkosinathi Maphumulo on 11 March 1976) is a South African multi-award winning record producer and DJ. He began his career around the year 1995[1] and has released five albums[2] and a live DVD under his Johannesberg-based record label, Soulistic Music.[3] He is arguably the most prominent electronic music producer in Africa.[4] He had his big break shortly after being chosen as a participant in the 2004 Red Bull Music Academy held in Cape Town.[5] On the 29th of September 2015, he won the "Breakthrough DJ Of The Year" award at the DJ Awards in Ibiza,[6] a few weeks after the release of his fifth studio album, Pieces Of Me.[7]
 
Mzungu sio mnafiki!! You get what you deserve
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…