Beth live interview on DJ sepetu show!!!

Lets wait and see .....

[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hali ya hewa inaonyesha uzi utajaa broken english za kumwaga kiongozi dj mwenyewe

Majina ya dictionary aina zote yatapatikana humu. Kila mmoja atajigeuza mwalimu wa english kukosoa spelling za mwenzie

Comments hazitakuwa nyingi(maana kithungu si lugha ya mchezo mchezo)

Alafu kweli ngoja nianze maombi.

Naomba mtabiri Numbisa utupe maono yako.
 
Utabiri wako huwa nauamini sanaaa numbiii kama jana ulivyotabiri hatimaye yakatokea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…