Beth live interview on DJ sepetu show!!!

Beth live interview on DJ sepetu show!!!

Ewaaaaa.... Stuka! Think!

Sio kila anayefanya kazi hospitali ni daktari... you know woram seyyying??
Babuuu ni heri kuamini Mungu yupo ili hata ukimkuta haitakuwa hasara
Ila usiamini afu umkute...utajua kitakukuta nini

Shauri yako

Me i choose to believe beth ni mod kwa kweli
 
Mwisho muosha rungu itabidi utuombe radhi kwa ulichokileta.

Haiwezekani mgeni akupangie chakufanya nyumbani kwako

Mgeni aje na sheria zake hii inakubalika kweli?

Udhaifu wa hali ya juu sana umeonyesha aiseee!
 
Babuuu ni heri kuamini Mungu yupo ili hata ukimkuta haitakuwa hasara
Ila usiamini afu umkute...utajua kitakukuta nini

Shauri yako

Me i choose to believe beth ni mod kwa kweli
Naona umemalizia kwa kizungu ili kuweka msisitizo. Unadhani kwa kizungu hicho ndo utaonewa huruma?? Utalambwa ban kama kawa na sisi tutaendelea kudunda...

Mi bhana nataka nimfanye mod mmoja awe mchepuko wangu ili niwe salama... kama vipi ntalazimika kumtafunia mod mmoja mchepuko wake...

Ukishasoma unambie nifute kabla hawajaamka
 
Kazi ya kiroba hio,nilienda kunywa ili nimwage kithungu vizuri,saiv mweupee sina hata ngeli moja
Ulinidanganya kikristu hakipandi... mbona unamwaga ngeli namna hii?? Una undugu na Madonna?
 
Back
Top Bottom