A
Anonymous
Guest
Habari,
Napenda kukuandikia ujumbe huu kuomba msaada wa kutupazia sauti.
Kampuni ya Betika inayoendesha michezo ya betting imeshikilia pesa za wataja wao.
Pesa hizo zinahusisha miamala ya kudeposit na kutoa pesa. Changamoto hii inaenda kumaliza mwezi sasa bila suluhu yoyote ile.
Mwanzo mwa mwezi wa 12 last year walisema kilichosababisha ilikuwa ni changamoto ya mtandao na hivyo tuliombwa kusubiri kwa saa 24-72 lkn sasa yapata mwezi.
Mbaya zaidi tukiwapigia simu hawapokei na sms zetu hawajibu. Naomba utupazie sauti ndugu