Betpawa kulikoni?

sematena

Member
Joined
Jan 2, 2011
Posts
73
Reaction score
35
Toka tarehe 27 October 2023, kampuni ya michezo ya kubashiri betpawa inashindwa kutoa (withdraw) pesa kwa wateja wake.

Changamoto hii mpaka sasa bado ipo, kiasi kwamba kuna baadhi ya wadau wana hofu huenda ikawa ndiyo mwisho wa kampuni hiyo kuwepo hapa Tanzania na pesa zao walizoshinda baada ya kuweka mikeka zikaliwa.

Namba ya bure (toll free - 0800 110 051) ya Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania inaita tu haipokelewi labda hiyo huduma haipo.

Wahusikia wa kudhibiti michezo ya kubahatisha (Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania) wana taarifa ya tatizo hili la betpawa kwa zaidi ya siku mbili sasa? Au ndiyo mpaka hali iwe siyo hali tena ndiyo tunaamka kutoka kwenye usingizi wa pono?!
 
Betting karibu zote kichefu chefu sana. Ukiwabunda wazito sana kulipa. Mara network mara sijui nini ?
 
Na leo nataka kuwapiga 2milluon yani awa ndio badi tena
 
Hawajanilipa Leo siku ya pili kila Niki withdraw pesa inakaa tu hewan kwenye akaunti inatoka kwenye simu haifiki ukipiga simu Yao Mara busy Mara hawapatikan ttzo sijui lipo wapi ndio mwisho wangu wa kubet hii kampuni
 
Ofisi zao zipo wapi jijini Dar es salaam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…