Kamgomoli
JF-Expert Member
- May 3, 2018
- 1,896
- 4,058
Nchimbi taratibu kaanza kupotea pale Yanga. Alipokua Njombe mji Nchimbi alikua akiibeba timu mabegani mwake. Azam wakamtamani wakamsajili. Hakuna alichokifanya pale Azam complex hadi wakaamua kumtoa kwa mkopo na kuishia polisi. Alipokua polisi alikiamsha kweli kweli mpaka akaitwa timu ya Taifa. Lakin toka asajiliwe pale jangwani hakuna cha maana alichokifanya. Namuona msimu ujao akiondoka na kukimbilia Namungo. Aina ya wachezaji km Nchimbi wapo duniani kote,wao huvuma wanapokua na timu Underdog tu! basi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app