LGE2024 (Betrayal in the city) Daftari la uwandikishaji wa serikali za mitaa,huwa anazihifadhi nani? Baada ya zoezi kuisha, inchi ngumu sanaa hii!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?

Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Ccm & serikali yake ina control vyote hivyo

Ova
 
Ukitoa madaktari wanaofanya Kazi za upasuaji

Sehemu zinazobaki watu hukimbizana na masaa yaende

Kama umefanya Kazi za serikali utakuwa unalijua hili jambo

Hakuna ufanisi wowote.

Hilo daftari ni kuokota tu madaftari mengine huwa yanabaki bar baada ya mwandikishaji kuzidiwa na urabu.
 
Hayo yote vyama vya upinzani hawajui? Au wanajima data? Kila kitu kipo under control of ccm, alafu unategemea matokeo
 
Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?

Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Hii ndugu inaweza kuwa ni betrayal in the house.
 
Mama etu Tanzania anatuonea huduma sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…