Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
kwani lina usingizi 🐒Lina lala kwa Karani eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kwani lina usingizi 🐒Lina lala kwa Karani eti
Ccm & serikali yake ina control vyote hivyoNi nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?
Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Hapo bado walimu na polisi 😹Sasa dc,ocd wote hao ccm 😄
Ova
Kwa namna ipi,kupitia tamisemi au tume ya uchaguzi?Ccm & serikali yake ina control vyote hivyo
Ova
Hayo yote vyama vya upinzani hawajui? Au wanajima data? Kila kitu kipo under control of ccm, alafu unategemea matokeoUkitoa madaktari wanaofanya Kazi za upasuaji
Sehemu zinazobaki watu hukimbizana na masaa yaende
Kama umefanya Kazi za serikali utakuwa unalijua hili jambo
Hakuna ufanisi wowote.
Hilo daftari ni kuokota tu madaftari mengine huwa yanabaki bar baada ya mwandikishaji kuzidiwa na urabu.
Hayo yote vyama vya upinzani hawajui? Au wanajima data? Kila kitu kipo under control of ccm, alafu unategemea matokeo
Tamisemi...serikali za mitaaKwa namna ipi,kupitia tamisemi au tume ya uchaguzi
Nn kifanyanyika mkuu,
Kwa manufaa yale yao tunayo yajua ama kwa manufaa ya taifa na watu wake?Tamisemi...serikali za mitaa
Uchaguzi mkuu ...nec+police +teeth
Ccm wamekaba kote
Ova
Hii ndugu inaweza kuwa ni betrayal in the house.Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?
Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.