Kwa manufaa yaoKwa manufaa yale yao tunayo yajua ama kwa manufaa ya taifa na watu wake?
Subirini maumivu zaidi mtayasikiaPlus mukwe hatari sana hii
Kupora fomu kukome ,kushikilia wagombea kukometishia wagombea kukome,kesi mchongo kwa wagombea kukome,uchakachuzi kwenye zoezi zima vikome.Mwisho zipigwe hesabu za haki,kama wengi hawata bakia midomo wazi na kuchanganyikiwa na wasijue cha kufanya wala kusema.Subirini maumivu zaidi mtayasikia
Vilio vitaanza muda si mrefu
Haya yanayotokea kwenye uandikishaji ni rasharasha tu,mvua yenyewe inakuja
Ova
Shangaa UWT ndiyo mlipendekeza hivyokwani lina usingizi 🐒
Lakini mama Imma na wale wenzako wachache pale BAWACHA mlifikiria nini hasa kuchoma vitenge 🤣Shangaa UWT ndiyo mlipendekeza hivyo
Unaogopa jina lako lisiende kusomewa visomo mujarabuNi nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?
Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Ninalala nayo yoteLina lala kwa Karani eti
Ninalala nayoLina lala kwa Karani eti
Utashangaa asubuhi weshafika 30 kabla ya kufungua kituo. Lahaula lakwata!!Karani ndio anaenda nalo nyumbani, majuzi kuna jamaa alijisahau akaacha kaunta bar moja hivi sijui walimrudishia au ilikuaje maana kituo chake anasema walijiandikisha watu 15 tu