LGE2024 (Betrayal in the city) Daftari la uwandikishaji wa serikali za mitaa,huwa anazihifadhi nani? Baada ya zoezi kuisha, inchi ngumu sanaa hii!

LGE2024 (Betrayal in the city) Daftari la uwandikishaji wa serikali za mitaa,huwa anazihifadhi nani? Baada ya zoezi kuisha, inchi ngumu sanaa hii!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Plus mukwe hatari sana hii
Subirini maumivu zaidi mtayasikia
Vilio vitaanza muda si mrefu
Haya yanayotokea kwenye uandikishaji ni rasharasha tu,mvua yenyewe inakuja

Ova
 
Subirini maumivu zaidi mtayasikia
Vilio vitaanza muda si mrefu
Haya yanayotokea kwenye uandikishaji ni rasharasha tu,mvua yenyewe inakuja

Ova
Kupora fomu kukome ,kushikilia wagombea kukometishia wagombea kukome,kesi mchongo kwa wagombea kukome,uchakachuzi kwenye zoezi zima vikome.Mwisho zipigwe hesabu za haki,kama wengi hawata bakia midomo wazi na kuchanganyikiwa na wasijue cha kufanya wala kusema.
 
Hayo madaftari wanaenda nayo maghetoni kwao.
Wengine huanza kuangalia majina yenye mvuto na kuwasearch kwenye mitandao ya kijamii...
Wengine hupata "pisi" na "madanga" kupitia fursa hizo..
 
Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?

Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Unaogopa jina lako lisiende kusomewa visomo mujarabu
 
Hivi waliojiandikisha wamefika hata asilimia moja kweli?
 
Huku kwetu madaftari ya mitaa yote yanahifadhiwa kwa diwani (kada wa ccm).

Kwa kitendo hiki tu:-
CCM 3 - 0 Upinzani
 
Huku kwetu madaftari ya mifaa yote yaaehifadhiwa kwa diwani (kada wa ccm).

Kwa kitendo hiki tu:-
CCM 3 - 0 Upinzani
Hahahahahah, hatari sana, mkuu
 
Karani ndio anaenda nalo nyumbani, majuzi kuna jamaa alijisahau akaacha kaunta bar moja hivi sijui walimrudishia au ilikuaje maana kituo chake anasema walijiandikisha watu 15 tu
Utashangaa asubuhi weshafika 30 kabla ya kufungua kituo. Lahaula lakwata!!
 
Linakolala usiku kucha wanakesha kujaza majina feki 😡
 
Back
Top Bottom