UWT mnajituma sn sahiviLakini mama Imma na wale wenzako wachache pale BAWACHA mlifikiria nini hasa kuchoma vitenge 🤣
halafu mama lmma una roho mbaya wewe, ndio ukawa unachochea kabisaaaa, na ulivyo kifupi sasa dah 🤣
UWT sahivi mnalaba 1500 kwa siku za lunch kuandikisha na mwisho wa zoezi mtalamba kila mtu buku kumi. HongereniNinalala nayo yote
Bora umekuwa mkweliHuku kwetu madaftari ya mitaa yote yanahifadhiwa kwa diwani (kada wa ccm).
Kwa kitendo hiki tu:-
CCM 3 - 0 Upinzani
Serikali itamchukia mtoa taarifa...
Mimi ni CCM lakini huu mpango wa kuandikisha kura za serikali za mitaa ni bomu. Siafikiani nao kabisa.Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?
Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Vyovyote vile tu mkuu ,2025 kama uchaguzi ukifanyika ccm ikajiandae tu hakuna rangi hawataiona , nawakilishaNi nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?
Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Mwaka wenuHaahhahah