LGE2024 (Betrayal in the city) Daftari la uwandikishaji wa serikali za mitaa,huwa anazihifadhi nani? Baada ya zoezi kuisha, inchi ngumu sanaa hii!

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?

Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Mimi ni CCM lakini huu mpango wa kuandikisha kura za serikali za mitaa ni bomu. Siafikiani nao kabisa.

Sioni sababu zaidi ya serikali kukusanya takwimu na kujengeana fitna watu wa mtaa mmoja.

Hii ni "divide and rule" ya wazi kabisa.
 
Ni nani huwa anachapisha majina ya kupiga kura?
Ni nani huwa anakusanya daftari la kuandikisha baada ya zoezi kuisha?

Ni nani ambaye anahakiki majina ya waliojiandikisha? What l see in their eyes " betrayal in the city.
Vyovyote vile tu mkuu ,2025 kama uchaguzi ukifanyika ccm ikajiandae tu hakuna rangi hawataiona , nawakilisha
 
Back
Top Bottom