BOFREE
JF-Expert Member
- Mar 1, 2012
- 1,048
- 1,424
Wakuu nina gari yangu Toyota Sienta cc1490 sasa betry lake naona limeisha maana ukizima gari kabla ya kuzima vitu vingne vyote kwanza haiwaki hata mbingu ishuke mpaka ubust ndio inawaka ila ukizima kila kitu ice, taaa na nk ukazima gari ukija kuwasha inawaka.
Hivyo naitaji kununua betry jipyaa naombeni ushauri betri gani zuri na la ukubwa gani najua humu kuna wataalam
Hivyo naitaji kununua betry jipyaa naombeni ushauri betri gani zuri na la ukubwa gani najua humu kuna wataalam