Betri inaisha kama radi simu ikifisha 50% kushuka

Imekufa betri, nunua nyingine
 
Pole sana tena sana, hapo kubaliana na yote maana hizo zina tabia sana kama hizo. Tafuta nyingine tu hapo.
Muda wote nimeweka chaji saiz. Yan nimekuwa mfungwa mana ili nichat inabid niwe karibu na socket🤪
 
Ata siyo. Kiukweli imenichosha. Imagine nilivyoliza kutype nikafpost, kukaa dak tatu tu ikadrop yote asilimia 67[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] poleee
 
Pole jana Judy. Nenda kawaone wataalamu wa electronics. Inawezekana betri imefikia mwisho wa uhai wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…