Betri kunyonya gari ikiwa imepaki

Boss angalia System ya umeme katika gari yako kuna kipo loose Katika System ya umeme
 
Nimemwita fundi wa kwanza akaniambia betri, nimebadilisha nimenunua betri mpya, bado tatizo lipo. Nimemwita fundi wa pili kakagua karekebisha umeme kaniambia tayari, bado tatizo lipo. Kuna mmoja ananiambia itakua earth wire imegusana na kitu sijui ni kweli?
 
Boss angalia System ya umeme katika gari yako kuna kipo loose Katika System ya umeme
Sio kwamva kipo loose bali kuna kitu kipo on muda wote.
Bu default ukishatoa funguo inatakiwa kila kitu kiwe off , hasa vile heavy kwenye umeme
 
Short circuit inaweza ikawa chanzo cha ishu yako.

Japo masaa matatu ni machache sana kwa kweli.
 
Wasiwasi wangu ni short circuit. Kwa gari kama hiyo ukizima inatakiwa fuses karibu zote ziwe hazina umeme.
 
Badilisha cut out funga ile ya ndani kwa ndani ya alternator ndo nzuri hasa zile za used from Japan
 
Badilisha cut out funga ile ya ndani kwa ndani ya alternator ndo nzuri hasa zile za used from Japan
Enzi za cut out za nje mbana zamani sana bro!
Toka mwaka 95 nafikiri japan hana cutout za nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…