Betri kunyonya gari ikiwa imepaki

Betri kunyonya gari ikiwa imepaki

Nina swali wazee: gx 110, nikiwa naendesha iko vizuri, nikipaki, masaa matatu au zaidi inanyonya betri, nimenunua betri mpya ila bado, wamecheki alternator lakini bado. Mafundi ni kama wanaotea. Nikiendesha, nikipaki usiku, nikiamka asubuhi haipigi. From dar. Msaada plz
Boss angalia System ya umeme katika gari yako kuna kipo loose Katika System ya umeme
 
Nimemwita fundi wa kwanza akaniambia betri, nimebadilisha nimenunua betri mpya, bado tatizo lipo. Nimemwita fundi wa pili kakagua karekebisha umeme kaniambia tayari, bado tatizo lipo. Kuna mmoja ananiambia itakua earth wire imegusana na kitu sijui ni kweli?
 
Sio kwamva kipo loose bali kuna kitu kipo on muda wote.
Bu default ukishatoa funguo inatakiwa kila kitu kiwe off , hasa vile heavy kwenye umeme
 
Nina swali wazee, gx 110, nikiwa naendesha iko vizuri, nikipaki, masaa matatu au zaidi inanyonya betri, nimenunua betri mpya ila bado, wamecheki alternator lakini bado.

Mafundi ni kama wanaotea. Nikiendesha, nikipaki usiku, nikiamka asubuhi haipigi. From dar. Msaada please!
Short circuit inaweza ikawa chanzo cha ishu yako.

Japo masaa matatu ni machache sana kwa kweli.
 
Nimemwita fundi wa kwanza akaniambia betri, nimebadilisha nimenunua betri mpya, bado tatizo lipo. Nimemwita fundi wa pili kakagua karekebisha umeme kaniambia tayari, bado tatizo lipo. Kuna mmoja ananiambia itakua earth wire imegusana na kitu sijui ni kweli?
Wasiwasi wangu ni short circuit. Kwa gari kama hiyo ukizima inatakiwa fuses karibu zote ziwe hazina umeme.
 
Nina swali wazee, gx 110, nikiwa naendesha iko vizuri, nikipaki, masaa matatu au zaidi inanyonya betri, nimenunua betri mpya ila bado, wamecheki alternator lakini bado.

Mafundi ni kama wanaotea. Nikiendesha, nikipaki usiku, nikiamka asubuhi haipigi. From dar. Msaada please!
Badilisha cut out funga ile ya ndani kwa ndani ya alternator ndo nzuri hasa zile za used from Japan
 
Enzi za cut out za nje mbana zamani sana bro!
Toka mwaka 95 nafikiri japan hana cutout za nje
 
Back
Top Bottom