Betri kunyonya gari ikiwa imepaki

Betri kunyonya gari ikiwa imepaki

Dah! hata mie nna tatizo kama hilo kwenye brevis! nimeweka battery jipya, shida iko pale pale..! wacha nijaribu fundi umeme nione..!
 
duu gari used ikinunua ikiwa na matatizo inakeraa balaaa yani ukiiona tu unasikia hasiraaa.
 
Zima gari kisha toa waya wa + kwenye betri, then rudishia waya huo kwenye betri na ukiona inatoa cheche wakati wa kurudishia basi jua kuna kitu kinanyonya betri gari ikiwa off. Mimi sio fundi ila ni muuza mabetri ya magari
 
Back
Top Bottom