Betri ya Gari inakufaje?

Chris-Jordan

Member
Joined
Jan 5, 2021
Posts
6
Reaction score
9
Nina Toyota Mark X Grx120 ya 2008 nilinunua 2019 mpaka leo ninavyoandika nishabadilisha betri 4 N50 dry cell 3 na ya maji 1 zote zimekufa , Sijajua sababu mpaka sasa naomba msaada kwa anayeweza kufaham nini tatizo? Hii ni kawaida au?
 
1. Gari yako ina leakage ya umeme

2. Una alternator mbovu.

3. Gari ina electrical load kubwa. Mathalani wanaoongeza miziki.
 
Unanunua betri brand gani kwanza??? Isije ikawa unanunua betri za bei nafuu feki ,
Kuna majina ya betri ukinitajia tu nitajua shida bi betri au gari lako
 
Ya kwanza ilikuwa varta N50, ya pili na 3 sikumbuki jina ila ilikuw made from german hi iliyokufa juz n chloride exide
 
Nina Toyota Mark X Grx120 ya 2008 nilinunua 2019 mpaka leo ninavyoandika nishabadilisha betri 4 N50 dry cell 3 na ya maji 1 zote zimekufa , Sijajua sababu mpaka sasa naomba msaada kwa anayeweza kufaham nini tatizo? Hii ni kawaida au?
Naomba picha ya hio unayoita dry cell
 
Na zote n mpya sijawahi nunua used kama hii ya mwisho nilienda chloride exide ofisn kwao
Ulivonunua battery uliona wakiifanyaje?? Na ukatumia muda gani?? Baada ya huo muda uliwah angalia kiasi cha maji yaliopo ili ku maintain
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…