Chris-Jordan
Member
- Jan 5, 2021
- 6
- 9
Nina Toyota Mark X Grx120 ya 2008 nilinunua 2019 mpaka leo ninavyoandika nishabadilisha betri 4 N50 dry cell 3 na ya maji 1 zote zimekufa , Sijajua sababu mpaka sasa naomba msaada kwa anayeweza kufaham nini tatizo? Hii ni kawaida au?