GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Hapa nitakuwa nasoma tu Maoni yenu!!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Niliyonayo ni ya Kutoa. Nimecheka sana.Na bahati mbaya simu za siku hizi betri zake sio za kutoa ni zile za 'internal'.
2013 Kuna dogo alitoa betri ya simu akawa anailamba lamba kui test Kama tulivyozea kufanya kwny zile betri za redio aisee alilipukiwa na Ile betri mdomoni,mdomo ulichanika mixer kupasuka mbaya kabisa mpk alipelekwa kutibiwa India chini ya ufadhali wa serikali ya TzNiliyonayo ni ya Kutoa. Nimecheka sana.
Kwahiyo kuna Ujumbe upi unatoa hapa?2013 Kuna dogo alitoa betri ya simu akawa anailamba lamba kui test Kama tulivyozea kufanya kwny zile betri za redio aisee alilipukiwa na Ile betri mdomoni,mdomo ulichanika mixer kupasuka mbaya kabisa mpk alipelekwa kutibiwa India chini ya ufadhali wa serikali ya Tz
Watu waache 'kulamba kulamba' hizo mambo.Kwahiyo kuna Ujumbe upi unatoa hapa?
hahaha, naona mada ishakua twisted, mods peleka hii mambo MMUWatu waache 'kulamba kulamba' hizo mambo.
Hapa nitakuwa nasoma tu Maoni yenu!!!
Mtindo wa chemical zinazotumika kwenye battery za simu zinazochajiwa kwa umeme yaani rechargeable battery unaruhusu chemical hizo kufanya kitendo kiitwacho reversible reaction.Hapa nitakuwa nasoma tu Maoni yenu!!!
Hapa nitakuwa nasoma tu Maoni yenu!!!
Jibu zuri sana. Thanks!Hapana haitaongeza charge.
Betri za kawaida za Zinc Carbon huwa zina gain energy kidogo ukiweka juani sababu lile joto ka jua lina accelerate reaction ya Zinc na Manganese Oxide. Betri ikiisha huwa ni kwamba reaction hii imeshanyika sana kiasi kwamba electrolye imebaki kidogo. Hvyo ukiweka kwenye jua ina accelerate hii reaction kwa hyo electrolyte iliyobaki kidogo na kukupa umeme kidogo.
Betri za simu za kisasa zinatumia Lithium Ion technology na hii iko tofauti kdgo na betri za kawaida. Kuziweka kwenye jua utasababisha kitu kinaitwa Thermal Runaway. Betri inapokuwa na moto sana inaanza kurelease Electrolyte na hydrogen gas. Mwsho wake inavimba na kusababisha insulator za humo ndani zinazotenganisha layers zinaharibika na kugusana kusababisha short. Hapo betri ndio inaweza kuwaka moto.
Usiweke betri ya simu kwenye jua. Kwanza inapoteza charge ukiweka kwenye jua na sio kujaa. Pia utasababisha iwake moto na kupunguza life span yake