N nyamkuta Senior Member Joined Mar 17, 2017 Posts 126 Reaction score 96 Jan 7, 2018 #1 Wasalaam,Naomba kupata uzoefu juu ya aina ipi ya betri ni zuri na linadumu kwenye gari. maana Wapo wanaosema Dry na wengine wanasema yale ya Maji.
Wasalaam,Naomba kupata uzoefu juu ya aina ipi ya betri ni zuri na linadumu kwenye gari. maana Wapo wanaosema Dry na wengine wanasema yale ya Maji.
M mkulangoe Member Joined Jan 3, 2018 Posts 10 Reaction score 0 Jan 7, 2018 #2 Mimi binafsi naona ya maji inadumu kama itakua inakaguliwa kwa wakati