Betri zuri kwa ajili ya gari

Betri zuri kwa ajili ya gari

nyamkuta

Senior Member
Joined
Mar 17, 2017
Posts
126
Reaction score
96
Wasalaam,Naomba kupata uzoefu juu ya aina ipi ya betri ni zuri na linadumu kwenye gari. maana Wapo wanaosema Dry na wengine wanasema yale ya Maji.
 
Back
Top Bottom