Nikajua nikiblock betpawa na sportybet nitakua nimepumua lakini wapi sahizi nacheza had ofisi za premierbet naliwa huku nimesimamaPole ndugu usiwaze ulichopoteza kuwa njia pekee ya kurudisha ni kubet badilisha mwelekeo maana wahenga wanasema hasira hasara kadri unavyotamani kurudisha ndio unapoteza
Kubeti ni kujitia kiberitiHapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu
Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya