Mkuu, kwanza pole sana kwa yaliyo kusibu. Kwanza hongera sana kwa kuamua japo kamali ina uraibu fulani, unaweza sema hii ya mwisho and still ukipata hela kidogo unarudi kulekule kwa kauli ya (hii ya mwisho) 😂
Ushauri wangu
📌Tafuta mbadala wa kazi ili iwe ina kuweka busy alot of time.
📍 Weka malengo ya kuirudisha hela uliyopoteza kwa njia nyingine NOT BETTING
📍Tafuta sehemu tulivu Then anza kuwaza how ulivyo anza and how ilivyo kusababishia matatizo pia matatizo yote mabaya uwe unaitupia betting, hii itasaidia kuichukia betting automatically.
📍 Fanya meditation, ili kupunguza stress, fanya zile simple meditation I.e (kuhesabu namba kinyumenyume, 100,99,98,97..............2,1,0.
📍. Weka imani kuwa hela hiyo iliyopotea ni just umemkopesha mtu na soon you will be able to have it, hii itasaidia kukufanya uwe Calm.
Kila kheri 💪🏾💪🏾