Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

Betting addiction inanipotezea utulivu kabisa

Mnaachaje kubeti nyie? Siwezi acha kiukweli kwa sasa nimepumzika tu nasubiri ligi zangu zirudi kuanzia mwezi August. Bet kimkakati na usitoke kwenye mkakati ila wengi tamaa inaponza.

Ukibisha utanifanya ni screenshot bet history ya Sporty Bet.
 
😂😂😂 nikikabwa na shida naweka zangu jero nategemea mamilion, sielewi wanaosema betting ni starehe mimi nabet nikiwa nashida ya pesa na sina p kupata🤣🤣🤣🤣
Lazima uwe na limit kwenye ku-stake
 
Nikajua nikiblock betpawa na sportybet nitakua nimepumua lakini wapi sahizi nacheza had ofisi za premierbet naliwa huku nimesimama
Unaliwa umesimama ...kubabeki....anza kuliwa umechuchumaaa huku umeshika tama labda utafanikiwa mkuu...
 
Baba la mababa ni LLB na FIC. kama hukupigwa huku shukuru mungu sana. Ungekuwa ICU au kule motuary kabisa.
 
Fuatilia series ya complete deliverance by Apostle Joshua Selman (1-3), iko YouTube
 
Miaka 6 ni michache kama unakitu cha kukuweka busy ila inategemeana na umekuwa addicted na betting kwa kiasi gani
Ina maana wote wanao bet hawana kitu kingine cha kufanya? Hamna cha kuwa addicted to what extent, issue hapa na uamuzi wako binafsi kwenye jambo husika
 
Ina maana wote wanao bet hawana kitu kingine cha kufanya? Hamna cha kuwa addicted to what extent, issue hapa na uamuzi wako binafsi kwenye jambo husika
Wengine wanakuwa na muda mwingi wa kubeti kuliko kufanya ishu zingine mfano mtu anayefanya biashara ya kuuza Duka
 
Back
Top Bottom