NACKO
JF-Expert Member
- Oct 27, 2022
- 1,762
- 3,435
vizuri mkuu dawa ni kukomaa tu,...kila laheri mkuuNashukuru mkuu
vizuri mkuu dawa ni kukomaa tu,...kila laheri mkuuNashukuru mkuu
Muhindi anapuna hajui hii ni sadaka ama rambirambi
Betting haina tofauti na kuvuta fegi!Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi hapo sijapigia hesabu toka mwaka umeanza hadi ka suzuki kangu nimeuza
napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.
Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi
Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
Ni kweli amekubali na anataka ushauri ndo maana tunamshauri, we just imagine ujipitishe kwenye ule uzi wa WENZANGU WA KUWEKA MIZIGO, KARIBU TUBASHIRI MECHI ZA LEO utoe ushauri si watakutukana na kukushtaki kwa mods kwamba we ndo umewatukana..Unaelekea pazuri umevuka stage ya kwanza "Kukubali hali halisi" - Acceptance.
Tafuta mwanasaikolojia sasa mana upo sehemu nzuri - kuna wenzako hawataki kabisa kukubali kama wanakosea.
Ni doctor wa ukweli kama Samia tu tofauti yao huyu anaua timu kwenye mikeka yake wakati Samia yeye anaua watuMeans DR SANTOS unaliwa kila siku? Are you a Doctor wa kweli au unazuga tu?
Duuuh hatari sana kaka.Ni kweli amekubali na anataka ushauri ndo maana tunamshauri, we just imagine ujipitishe kwenye ule uzi wa WENZANGU WA KUWEKA MIZIGO, KARIBU TUBASHIRI MECHI ZA LEO utoe ushauri si watakutukana na kukushtaki kwa mods kwamba we ndo umewatukana..
Zaidi ya miaka 6 sasa imepita sijarudi huko na wala sina huo mpango, mapumziko gani hayo yasiyo na kikomo?Umepumzika hujaacha
Mkuu, kwanza pole sana kwa yaliyo kusibu. Kwanza hongera sana kwa kuamua japo kamali ina uraibu fulani, unaweza sema hii ya mwisho and still ukipata hela kidogo unarudi kulekule kwa kauli ya (hii ya mwisho) 😂Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi hapo sijapigia hesabu toka mwaka umeanza hadi ka suzuki kangu nimeuza
napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.
Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi
Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
Ni kweli kabisa unaweza ukawa na 10,000/= but kwako ikawa ndogo sana ila kwa mwingine hiyo pesa inaweza msaidia week am mwezi kabisaHii hela ni nyingi sana kuna watu hiki ni kipato chao cha mwaka
Tatizo mkuu unacheza michezo ya kompyuta kama robot.. yaani apo kuliwa ni nje nje.Cheza mpira kama EPL,LA LIGA au Tennes ..achana na spin mkuuHapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi hapo sijapigia hesabu toka mwaka umeanza hadi ka suzuki kangu nimeuza
napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.
Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi
Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
Umemlist Titantilah kumbe ni haki yako kushenyentwa na KanjibaiNaita jopo Hawa watu wakitoa ushauri uchukue na fanyia kazi.
Intelligent businessman
Kiranga
Monetary doctor
secretarybird
Dennis Robert Shughuru
Leejay49
Half american
mshamba_hachekwi
Pascal Mayalla
DeepPond
min -me
DR HAYA LAND
dosho12
Castle_Lite
makutupora
Tlaatlaah
E.t.c
Miaka 6 tu ,muda utaongeaZaidi ya miaka 6 sasa imepita sijarudi huko na wala sina huo mpango, mapumziko gani hayo yasiyo na kikomo?