Pesa ni zangu lakini napoteza mno kama leo tu 489k imepoteaHii inshu nilishaipitia ila mdogo mdogo naelekea kupona ,ila majuz tena nimejikuta nimerudia ujinga nikapigwa 30,000 chapu
Ilifikia mpaka nikawa nabetia pesa za watu,nimelipa mdogo mdogo sahv nimebakiza kama laki 1.5 nililiwa kama laki 5 ya watu,
Betting ya sasa ukitaka ufe beti high stake,tunakuzika mapema tu
Kuna siku saa 6 usiku nilipita sehemu nikaona vijana wanavunja nazi mlango wa kuingilia ofisi ya bettingBahati yako, kamari hairogeki
Kama umeliwa 2.1m na umemla mhindi mil 4 kwa mkeka mwingine we beti tuu. Ila km unakula za uso kila mkeka, achana na io kaziHapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.
Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi
Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
Sijui kuhusu cassino na aviator lakini football kwa mtaji huo ungempasua sana huyo kanjiHapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne m sanapaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.
Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi
Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
2,189,000/= kwa miezi miwili. Hiyo ni saruji ngapi? Ni tofali ngapi? Ni viwanja vingapi vya 'boss kwezi'?Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.
Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi
Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
Pole sana MkuuHapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89
2,189,000/= ambayo ni wastani wa laki saba kila mwezi hapo sijapigia heaabu toka mwaka umeanza hadi ka suzuki kangu nimeuza
napenda sana cassino hasa spin and win huwa nikiliwa nasema sichezi tena ila nikipata hela tu nakua kama na maruhani yaani lazima nibet tu.
Inanicost mno sometimes mtu unashindwa nunua hata nguo upendeze pesa unalisha wahindi
Sijui nachomokaje kwenye huu uraibu ila kwa kifupi hali ni mbaya
Hapa nimepiga hesabu kupitia diary yangu kwanzia mwezi wa nne mpaka leo nimeliwa milioni mbili laki moja na 89