Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Umfungulie tena, si utoe maelezo jinc ya kufunga account???????0767695252 nicheki nikufungulie account
Hii account iko tofauti na nyingine unazo ziona mkuu ndio maana iko na ofa
Kwani ukieleza humu izo steps si utaokoa muda wa kupigiwa simu na watu zaidi ya 50 wa humu ebu tiririka mzeeHakuna gharama kufungua account unanipa tu detail zako nafungua account unadeposit unaendelea na betting kama kawaida
[emoji16][emoji16] hapana mkuu fikiria vizuri account yako ya m-pesa au tigo pesa ulifunguliwa na mtandao wao wakakupa na pasaword ya mwanzo unakua na full control ya account yako baada ya kufunguliwaUmfungulie mtu a/c kutakua na usalama hapo kweli?
Kwa nini usiwaelekeze watu jinsi ya kufungua wakafungua wenyewe.
Kuna harufu ya kupigwa hapa
funguka vizuriiii basii tukueleweeeeRiziki wadau kufungua account ni ili niwe na list ambayo nikirudi ofisini napata chochote kitu. Check me tufanye kazi 0767695252