BETTING: Fursa sahihi kwa watu makini

Thanks mkuu, Mungu akubarik sana na Uvuke mwaka mpya salama
 
Vitabu vinapatikana wapi vya kujifundishia kupata hii elimu?
 
Mbona. Mi naweka mbili tu nabado tunaliwa
Mtoa mada amaetoa vigezo vitano, naona umekimbilia tu kigezo cha kwanza usiweke Timu nyingi, Vipi kuhusu vigezo vingine unafuata??
All in all kumbuka hii ni Michezo ya kubahatisha, at the end of the day jhata ukiweka Analysis nzito kiasi gani, kuna wanaocheza/ wanaoleta matokeo ni Timu husika zilizoko uwanjani regardless the Reality.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…