Wallet yangu imetuna nikikaa nakaa tako moja mikeka imejaa.Nina mwaka wa 2 mwanangu anasoma Tusiime kwa Hera ya muhindi kubet ni maisha kubet ni ajira.Hera ninayolipwa kazini haifikii Hera ninayomla MuhindiUshauri kwenu mnaobet, betting ni kama addiction vema mtenge muda wa kubet na muda wa kufanya mambo ya maana......
Wanandoa kuna siku mtatmba mikeka ohooooo