BETTING: Fursa sahihi kwa watu makini

BETTING: Fursa sahihi kwa watu makini

Ushauri kwenu mnaobet, betting ni kama addiction vema mtenge muda wa kubet na muda wa kufanya mambo ya maana......
Wanandoa kuna siku mtatmba mikeka ohooooo
Wallet yangu imetuna nikikaa nakaa tako moja mikeka imejaa.Nina mwaka wa 2 mwanangu anasoma Tusiime kwa Hera ya muhindi kubet ni maisha kubet ni ajira.Hera ninayolipwa kazini haifikii Hera ninayomla Muhindi
 
Jaman tutajieni walau watu wa 5 ambao walishawahi kutajirika kwa kubet walau na sie wengine tuhamasike kujaribu
 
Wallet yangu imetuna nikikaa nakaa tako moja mikeka imejaa.Nina mwaka wa 2 mwanangu anasoma Tusiime kwa Hera ya muhindi kubet ni maisha kubet ni ajira.Hera ninayolipwa kazini haifikii Hera ninayomla Muhindi
kiogwe waga nakuelewa sana muhuni kwa post yako alaf nitaomba ushauri katika kilimo
 
7212f3d9c4dffb891806e9ddfebbad29.jpg

Cha asubuhi hii
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Wallet yangu imetuna nikikaa nakaa tako moja mikeka imejaa.Nina mwaka wa 2 mwanangu anasoma Tusiime kwa Hera ya muhindi kubet ni maisha kubet ni ajira.Hera ninayolipwa kazini haifikii Hera ninayomla Muhindi
tupe mbinu kaka walau tuwe tunapata hela ya kula
 
kiogwe waga nakuelewa sana muhuni kwa post yako alaf nitaomba ushauri katika kilimo
Haha haha karibu mkuu kilimo kinalipa sana tatizo kubwa usimamizi vijana sio waaminifu kabisa vijana wanakuangusha dk zero tu hawanaga huruma hao watu wa vijijini mkuu
 
Ushauri kwenu mnaobet, betting ni kama addiction vema mtenge muda wa kubet na muda wa kufanya mambo ya maana......
Wanandoa kuna siku mtatmba mikeka ohooooo
una matusi sana hata aibu huna.......hahahaha sipati picha ulivyofura huko uliko kwa hasira ....pole
 
Haha haha karibu mkuu kilimo kinalipa sana tatizo kubwa usimamizi vijana sio waaminifu kabisa vijana wanakuangusha dk zero tu hawanaga huruma hao watu wa vijijini mkuu
Kaka unanifufulia uchungu miwa yangu jamani miwa yangu nikiikumbuka naumia ila nakuja natazama huku natazama na huku nakuja kugundua bado uhai ninao nipe mbinu kaka
 
Ndio,
Waweza kubeti ukapata mtaji wa kufanya issue zingine na zikafanikiwa.
Lakini pia kuna michezo ukila unakula hela nyingi tu. Mfano kampuni ya M-Bet wana mchezo wao unaitwa PERFECT 12, huo watu wanakula mpaka Tshs 120mil kwa dau la buku (1,000) tu
hii ferfeect 12 inakuwaje?
 
hii ferfeect 12 inakuwaje?
Unadhani unakula kizembe hyo 120? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kama unabeti nakushauri achana na perfect 12 na majackport ya sportpesa na mkeka, bet kawaida weka pesa ndefu timu chache option ya magoli usijaribu kutia Win! Yatakukuta ya madrid na barca
 
Back
Top Bottom