Kwahiyo umepata Ml 5 kwa Mia 5.... Au mimi ndiye sijaelewa?
BACK TANGANYIKA
Hawezi kujuta kwasababu huyo mmoja kashinda kuna milioni wameliwa.Muhindi,,, lazima ajute
acha ujinga utawapoteza wenzako!!kama umemkomesha kaa nalo mwenyewe kaa la moto kazi kubet tu huo ni ujinga wa hali ya juu dhidi ya vijana wakitanzania na kenya...sio kama umemkomesha bali umejikomesha.[/QUOTE
Floyd mayweather naye ni mtu mzuri wa kubet je ni Mtanzania na Mkenya.
Hii comment mbona imekaa kiwivu zaidi. Inaonekana kama barca kakuchanisha mkeka. Kumfumua muhindi sio kitu kidogo, acha mkuu afurahi, ingawa pesa zenyewe kama za kishetani, zinaisha fasta kama kiroba kidogoacha ujinga utawapoteza wenzako!!kama umemkomesha kaa nalo mwenyewe kaa la moto kazi kubet tu huo ni ujinga wa hali ya juu dhidi ya vijana wakitanzania na kenya...sio kama umemkomesha bali umejikomesha.