Betting: Hatimaye nimemkomesha muhindi

Betting: Hatimaye nimemkomesha muhindi

Troll JF

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2015
Posts
7,804
Reaction score
12,237
IMG-20160911-WA0008.jpg
 

Attachments

  • IMG-20160911-WA0008.jpg
    IMG-20160911-WA0008.jpg
    55.7 KB · Views: 157
Mkuu hongera sana maana hiyo idadi ya timu ulizoziweka kweli ulijilipua.
 
acha ujinga utawapoteza wenzako!!kama umemkomesha kaa nalo mwenyewe kaa la moto kazi kubet tu huo ni ujinga wa hali ya juu dhidi ya vijana wakitanzania na kenya...sio kama umemkomesha bali umejikomesha.[/QUOTE
Floyd mayweather naye ni mtu mzuri wa kubet je ni Mtanzania na Mkenya.
 
acha ujinga utawapoteza wenzako!!kama umemkomesha kaa nalo mwenyewe kaa la moto kazi kubet tu huo ni ujinga wa hali ya juu dhidi ya vijana wakitanzania na kenya...sio kama umemkomesha bali umejikomesha.
Hii comment mbona imekaa kiwivu zaidi. Inaonekana kama barca kakuchanisha mkeka. Kumfumua muhindi sio kitu kidogo, acha mkuu afurahi, ingawa pesa zenyewe kama za kishetani, zinaisha fasta kama kiroba kidogo
 
Back
Top Bottom