Betting: Hatimaye nimemkomesha muhindi

Betting: Hatimaye nimemkomesha muhindi

Nataka Nifuge Pweza Kwaajili Ya Shughuli Ya Betting Tu
Ndani Ya Miezi Miwili Nataka Kuhakikisha Nazoa Pesa Kampuni Zote Za Betting Hadi Wafunge Ofisi.

Nitakwenda Ferry Na Kigamboni Hadi Kilwa Kutafita Pweza Wazima. Baadaye Nakwenda Ubalozi Wa Ujerumani Kupata Mawasiliano Ya Aliyekuwa Anamfuga
Marehem Pweza Poul Kule Ujeruman Nipate Ujuzi Ili Niwakomeshe Hawa Wabetishaji Kabla Ya Christmas
 
Weka tuu mkuu. Akianza ubashiri nami nijulshe tumkomoe kwa pamoja. [emoji2][emoji2][emoji2]
 
Breki ya kwanza unazitumbuaje hizo pesa?
Kajipooze wewe.
Miksa mayai ya kukaanga 20.
 
Kuwa makini, mhindi akipenyeza kidogo tu ya ku-brush viatu utajikuta uko kizimbani kwa kutungiwa kesi ya ubakaji.
 
Back
Top Bottom