Betting mabasi ya abiria zinanikera

Betting mabasi ya abiria zinanikera

Kiplayer

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2018
Posts
1,180
Reaction score
1,964
Kuna mambo mawili binafsi yananikera katika usafiri wa mabasi ya ruti ndefu tz.

1. Mabishano ya wanaoitwa wanazi wa makampuni ya mabasi juu ya ubora wa gari zinazotumika na kipimo ni mwendokasi.

2. Betting ya basi lipi litawahi kufika eneo Fulani.

Yote haya yanachochea mwendokasi na rafu nyingi barabarani kwa sababu hata hao madereva wanajua kinachoendelea.

Akili kumkichwa kwa mamlaka.
 
Back
Top Bottom