Betting: Vigezo vya kumiliki Mashine, changamoto za biashara na faida zake

Betting: Vigezo vya kumiliki Mashine, changamoto za biashara na faida zake

pettymarcel

JF-Expert Member
Joined
Jun 17, 2012
Posts
2,161
Reaction score
880
Habari wandugu

Naomba kujua garama za hii Mashine na je ni vigezo gani anatakiwa kuwa navyo MTU anaetaka kununua awe na kituo cha kununulia tiketi je faida IPO katika mfumo gani?

Nikiwa na maana faida ni kama cammision ya Mpesa na tigo Pesa kulingana na tiketi zilizouzwa au inakuwaje?

Plz msaada Wa ndugu nataka kujiajiri coz naona kwa eneo nililopo hii ni fursa nzuri sana
 
Faida ipo kwenye kamisheni....maelezo mengine muulize wakala aliyekaribu nawe...
 
Faida ni 7% ya sales na pia kama ukimlipa mtu alieshinda 7% unalipwa.uwe na leseni ya biashara,barua ya mwenyekiti,passport size picha,wadhamini wawili na vitambulisho vyao,mengine nenda ofisi iliyo karibu nawe.
 
Leseni ya biashara sio lazima.barua za wadhamini wawili na passport size zao,barua yako ya maombi then ukipeleka pale kkoo head ofc kwa premier betting then utaingia kwenye list ya wanaohitaj hzo mashne.
Faida ni 7% ya sales.
Wao watakuwekea laki 1 km kianzio na kila ck lzm uwatumie mauzo ya ck ucka.ukitaka wakujazie zaid ya laki 1 ambayo wao wanakupa km kianzio basi fka ofcn kwao na FUATA MAELEKEZOO
 
Je hiyo laki Moja ninailipia au napewa bure as a capital?
 
Ukilipa mtu mkeka/ticket iliyoshnda haupati 7% bali unapata tsh 50/= tu.eg mkeka ulioshnda ni 63500/=ukitaka kufanya payment itasoma 63550/=so mteja utamlipa 63500/=.
 
Habari wandugu

Naomba kujua garama za hii Mashine na je ni vigezo gani anatakiwa kuwa navyo MTU anaetaka kununua awe na kituo cha kununulia tiketi je faida IPO katika mfumo gani?

Nikiwa na maana faida ni kama cammision ya Mpesa na tigo Pesa kulingana na tiketi zilizouzwa au inakuwaje?

Plz msaada Wa ndugu nataka kujiajiri coz naona kwa eneo nililopo hii ni fursa nzuri sana

Dini hairuhusu kucheza kamali wala kukopa/kukopesha kwa riba!

asante!
 
Hiyo laki 1 wanakuwekea wao km kianzio na haupaswi kuilipa hyo laki.
Peleka barua ya maombi ili uingie kwenye list ya wanaohitaj machine.SIO KWAMBA UKIPELEKA MAOMBI LEO UNAPEWA MACHINE KESHO,KUNA JAMAA ALISUBIRI KWA MIEZ 8 THOUGH CJUI KWA SASA HV
 
Ndo mana wengine wako radhi wahonge.
 
Habari wanajamii. Nina shida ya mashine ya ku bet ya premier. Nimefungua ofisi na miongoni mwa biashara tarajwa ni pamoja na ku bet. Nimeenda ofisini kwa premier betting ila wamesitisha kutoa machine mpaka ligi zianze .

Kwa ufanisi wa biashara yangu ninaihitaji machine kipindi hiki kabla ligi hazijaanza ili wateja wazoee huduma .
Kama kuna mtu anayo machine ambayo haitumii kwa sasa tunaweza fanya biashara .

Either akaniuzia kabisa ama akanikodisha kwa muda mpaka nitakapopata machine yangu .

Natumaini kupata majibu mazuri

Asanteni
 
Acheni kumpa nguvu shaitwaani kwa machumo haramu. Tafuteni shughuli nyingine za halali jamani mbona ziko nyingi. Hiyo ni kamari na ni haramu.

Mh! Kaka ku bet ni kubashiri na siyo kamali! Mbona hata shekh yahya alikua anatabiri inamaana shekh wetu na yy alikua anacheza kamali? Je ni maandiko gani yanayosema kubashiri, kubahatisha na kutabiri kitu ni haramu? Bado sijayaona mashaka ya kubeti na ubatili wake hakika ni haki kufanya ubashiri!
 
Back
Top Bottom