Betting: Vigezo vya kumiliki Mashine, changamoto za biashara na faida zake

Betting: Vigezo vya kumiliki Mashine, changamoto za biashara na faida zake

Mh! Kaka ku bet ni kubashiri na siyo kamali! Mbona hata shekh yahya alikua anatabiri inamaana shekh wetu na yy alikua anacheza kamali? Je ni maandiko gani yanayosema kubashiri, kubahatisha na kutabiri kitu ni haramu? Bado sijayaona mashaka ya kubeti na ubatili wake hakika ni haki kufanya ubashiri!

kula big like
 
Habari wakaka,

Nataka kufanya biashara ya KUBET (kamali iliyohalalishwa)

naomba kujua nawezaje kupata zile mashine.

Kiasi ninachotakiwa kuwa nacho kama wakala.

Pia mimi naweza kufaidikaje na hii biashara,

Kwa anaejua naomba anisaidie maelekezo maana sina utaalamu nayo kabisa.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Jamani Mimi Nina Mashine ya kubet ninataka kukodisha kwa aliyetayari tuwasiliane nipo moshi 0763772636
 
kula big like
Swala la dini ni gumu sana na ukitaka ufe maskini endekeza mambo ya dini ambayo mengi ya makatazo wala sio ya mungu ni misimamo tu ya watu wa jamii fulani wanao taka wote tuishi kwa kufuta makatazo yao
 
Betting ni janga la kitaifa. Huu ni wizi uliohalalishwa na Serikali. Vijijini na mijini vijana wameacha kufanya kazi wamehamia kwenye betting. Muda si mrefu tutaona madhara ya huu upuuzi.
 
Mh! Kaka ku bet ni kubashiri na siyo kamali! Mbona hata shekh yahya alikua anatabiri inamaana shekh wetu na yy alikua anacheza kamali? Je ni maandiko gani yanayosema kubashiri, kubahatisha na kutabiri kitu ni haramu? Bado sijayaona mashaka ya kubeti na ubatili wake hakika ni haki kufanya ubashiri!
Kubeti ni kamari tu wala usipotoshe watu.
 
Back
Top Bottom