Betting

Betting

Itug

Senior Member
Joined
Mar 19, 2011
Posts
196
Reaction score
72
Makampuni ya betting yamezidi mno! Kila siku wanaanzisha makampuni ya tuma 1000 kwa namba ya biashara xxx xxx uingie kwenye droo ya mil 50 au zaidi. Na kiuhakika makampuni hayo niyauongo sana! Sijawahi kuona aliyefanikiwa, zaidi ya kutumiwa tu msg za kutaka kucheza zaidi.
Serikali inafanyanini kudhibiti wizi huu? Kuna mambo mengi yameonekana kuzidi lkn betting haijanekana! Nauliza serikali hailioni hili? Namba za 15305 zinatuma msg kila dakika.
 
Uzuri huwa hawalazimishi mtu kushiriki hiyo michezo.

Kucheza na kutocheza Ni uamuzi wa mtu binafsi.
 
Serikali inafanyanini kudhibiti wizi huu? Kuna mambo mengi yameonekana kuzidi lkn betting haijanekana! Nauliza serikali hailioni hili? Namba za 15305 zinatuma msg kila

Makampuni ya betting yamezidi mno! Kila siku wanaanzisha makampuni ya tuma 1000 kwa namba ya biashara xxx xxx uingie kwenye droo ya mil 50 au zaidi. Na kiuhakika makampuni hayo niyauongo sana! Sijawahi kuona aliyefanikiwa, zaidi ya kutumiwa tu msg za kutaka kucheza zaidi.
Serikali inafanyanini kudhibiti wizi huu? Kuna mambo mengi yameonekana kuzidi lkn betting haijanekana! Nauliza serikali hailioni hili? Namba za 15305 zinatuma msg kila dakika.
Nitarudi kukomenti maana liva ashachana mkeka huko
 
Uzuri huwa hawalazimishi mtu kushiriki hiyo michezo.

Kucheza na kutocheza Ni uamuzi wa mtu binafsi.
Mkuu wewe unafurahia msg zaidi ya 10 kwa siku zikikushawishi kupata mil 50 kwa kubet? Hawakulazimishi ni kweli ila msg zao waombe ruhusa kwanza kwa wateja! Sio wanatuma tu kama simu zao!
 
Back
Top Bottom