Itug
Senior Member
- Mar 19, 2011
- 196
- 72
Makampuni ya betting yamezidi mno! Kila siku wanaanzisha makampuni ya tuma 1000 kwa namba ya biashara xxx xxx uingie kwenye droo ya mil 50 au zaidi. Na kiuhakika makampuni hayo niyauongo sana! Sijawahi kuona aliyefanikiwa, zaidi ya kutumiwa tu msg za kutaka kucheza zaidi.
Serikali inafanyanini kudhibiti wizi huu? Kuna mambo mengi yameonekana kuzidi lkn betting haijanekana! Nauliza serikali hailioni hili? Namba za 15305 zinatuma msg kila dakika.
Serikali inafanyanini kudhibiti wizi huu? Kuna mambo mengi yameonekana kuzidi lkn betting haijanekana! Nauliza serikali hailioni hili? Namba za 15305 zinatuma msg kila dakika.