Makampuni ya betting yamezidi mno! Kila siku wanaanzisha makampuni ya tuma 1000 kwa namba ya biashara xxx xxx uingie kwenye droo ya mil 50 au zaidi. Na kiuhakika makampuni hayo niyauongo sana! Sijawahi kuona aliyefanikiwa, zaidi ya kutumiwa tu msg za kutaka kucheza zaidi.
Serikali inafanyanini kudhibiti wizi huu? Kuna mambo mengi yameonekana kuzidi lkn betting haijanekana! Nauliza serikali hailioni hili? Namba za 15305 zinatuma msg kila
Nitarudi kukomenti maana liva ashachana mkeka hukoMakampuni ya betting yamezidi mno! Kila siku wanaanzisha makampuni ya tuma 1000 kwa namba ya biashara xxx xxx uingie kwenye droo ya mil 50 au zaidi. Na kiuhakika makampuni hayo niyauongo sana! Sijawahi kuona aliyefanikiwa, zaidi ya kutumiwa tu msg za kutaka kucheza zaidi.
Serikali inafanyanini kudhibiti wizi huu? Kuna mambo mengi yameonekana kuzidi lkn betting haijanekana! Nauliza serikali hailioni hili? Namba za 15305 zinatuma msg kila dakika.
Mkuu wewe unafurahia msg zaidi ya 10 kwa siku zikikushawishi kupata mil 50 kwa kubet? Hawakulazimishi ni kweli ila msg zao waombe ruhusa kwanza kwa wateja! Sio wanatuma tu kama simu zao!Uzuri huwa hawalazimishi mtu kushiriki hiyo michezo.
Kucheza na kutocheza Ni uamuzi wa mtu binafsi.