Betty Mkwasa: Fani ya Uandishi wa Habari ipo ICU kwa sasa na Nasikitika Wahusika tumenyamaza tu, huku ikienda Kufa kabisa

Yupo sahihi kabisa Betty, ndio maana hata habari za redioni na TV wengine sasa hawana muda nazo.
Kiukweli ukiacha ITV na TBC (wanaboa tu kwa kuwa na bias hawa ukiwa unatizama taarifa ya Habari usitegemee jambo lolote tofauti na mambo ya CCM na Serikali)lakini kidogo wanajitahidi mtu unaweza kuvutiwa lakini kuna hawa madogo kina Sijui Mwinyijaku na kina zembewela kiukweli wanaganga njaa tu na ninamuunga mkono Mama Mkwasa ni wakati sasa lifanyike zoezi la uhakiki ili watu wenye sifa tu ndio wahudumu kwenye Tasnia husika,Jambo hili ni sambamba na wachungaji wote makanjanja au matapeli nao Wachujwe
 
Nyakati zinabadilika kama una Akili timamu huwezi kushangaa mabadiliko katika nyanja yoyote mfano muziki wa bendi miaka ya 2000 versus bongo flava 2020 muziki wa bendi ulikuwa una mpangilio mzuri wa vyombo, sauti na ujumbe ulikuwa wa kuelimisha lakini nyakati zimebadilika muziki wa bandi upo icu watu tunabang na kino Chinno man.

Wewe, Betty na wenzako mkubali nyakati zimebadilika hiking ni kozazi Cha millennials and gen z Kuna namna yao ya kuyaendea mambo
 
Kwahiyo aliwe na Wawili wote waliokuwa Baharini Palace? Mtoro wa Saigoni alimwambia amchomolee Mwamba wa COET Mlimani kwakuwa Yeye ndiyo alikuwa akimaliza Shughuli.

Sitaki niulizwe Swali lolote katika hili tafadhali.
Oya dogo fungua hiyo code
 
COVID-19 ilisahau nini kuondoka mazima nawe ili wenye Akili Kubwa na Timamu tu pekee tubakie Tanzania?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…