Beyonce and Jay-Z daughter:Blue Ivy Carter

Beyonce and Jay-Z daughter:Blue Ivy Carter

Beyonce angekuwa Bongo angekuwa al maarufu kama Mama Bebii!!
 
It's Tiana carter.
Okey! Basi namshauri Mama Tiana anywe mtori na supu kwa wingi zilizochanganywa na nyanya chungu bila kusahau uji wa ulezi kwa sana ili atoe maziwa mengi kumnyonyesha Tiana asianze kumpakia maziwa ya kopo ati! Tutamtuma mama chausiku amfunde mambo ya bara ati!!
 
ha!kumbe alikuwa na mimba nilikuwa thijui.
 
Big up kwa mr and mrs Carter....
 
hivi hizi salamu wanazipata au ndo basi tu
tumejisahau na kufikiri hawa wenzetu....

kumbe wenzetu ni kina mzee majuto.bambo na kingwendu.....
 
duh! huyo mtoto kazi anayo,atashindiliwa maziwa ya kopo mpaka akome. Anyonyeshe matiti yawe kandambili alafu udiva upotee? just thinking.
 
huyu mtoto sijui kama atakuja kulala kwa miaka mingi ijayo...
 
Back
Top Bottom