Beyonce And Jay-z’s Performance At The Grammys ( photos)

Beyonce And Jay-z’s Performance At The Grammys ( photos)

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Beyonce the queen of live performances did her thing once again at the 54th Grammys but this time there was a little extra something. She was joined by her husband Jay-Z and together they gave.

1537280_jay-z_and_beyonce_jpge8f085e9f812a476784a49a92addae38

1537254_bey1_jpg752a924a44e413a59879464e0fdb4804
 
nice couple,nice perfomance. Big Up Beyonce and your husband Jay-Z
 
si bora angetembea uchi ijulikane moja tu, ss hapo ndo kavaa nn
 
Aisee nyimbo ni nzuri halafu ana mitego huyu lol alivyokua anajibinua lazima uhonge hata Nchi ya Kikwete wallahhh
 
Haya sasaaa mafashenista wa bongo aka masuperstar wa kunyang'anywaa magari igeni nguo hiyoooo hapoooooo
 
Aisee nyimbo ni nzuri halafu ana mitego huyu lol alivyokua anajibinua lazima uhonge hata Nchi ya Kikwete wallahhh

Mitego hatare.
Ila hivi hili ndo wowowo analisifiwaga nalo?
Mbona mi langu sio kubwa kivile ila nimemzidi lol
 
Mitego hatare.
Ila hivi hili ndo wowowo analisifiwaga nalo?
Mbona mi langu sio kubwa kivile ila nimemzidi lol

Wao makalio yao ukubwa ndio huo haiwajitaji mizigo halaf anaonekana ni Team0712 maana mmhiiiii
 
Drunk in Love

Hapa Jay Z alipata mke aisee,sema ndo hivyo black men hatuaminiki
 
Bey anaanza kuzeeka au Make Up zimezidi sana?she is still in her 30s but mmmh....Mileage ya uso sasa....
 
hako kachupi angevaa wema naamini humu ndani watu wangefunguka balaa,tena kidharau dharau zaidi,lkn lady b na pongezi anapewa.
ona mumewe alivyovaa vizuri,wanawake tunapenda kujidharirisha wenyewe,ndo biashara gani sasa hiyo.
 
Wao kawaida yao kukaa uchi,lakin kwa wema hakuna kinachoshindikana maana ashatuonyesha makalio yake mara kwa maraa
 
Back
Top Bottom