Msanii Jay Z amebarikiwa kupata mchumba mzuri. Si kwa sababu kuwa kila asubuhi akiamka atakutana na mrembo huyu bali pia mrembo huyu anaweza kujipiga picha asubuhi akiwa hajavalia make-up yeyote.
Katika picha hii aliyoituma Beyonce inamuonyesha ametoka kwa kitanda na hajavalia make-up wala vipodozi vyovyote.