Beyonce Bila Make Up, Akiwa Ametoka Kulala

Beyonce Bila Make Up, Akiwa Ametoka Kulala

Ibrahim300

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2010
Posts
390
Reaction score
68



Msanii Jay Z amebarikiwa kupata mchumba mzuri. Si kwa sababu kuwa kila asubuhi akiamka atakutana na mrembo huyu bali pia mrembo huyu anaweza kujipiga picha asubuhi akiwa hajavalia make-up yeyote.

Katika picha hii aliyoituma Beyonce inamuonyesha ametoka kwa kitanda na hajavalia make-up wala vipodozi vyovyote.

Cheki picha yenyewe hapo chini:


Stori na Picha zimetolewa kutoka bkuHABARI
 
mbona wakawaida tu! Nikimuweka manka wangu hapa kaamka asubuhi Beyonce si atakaa!
 
Alikiri kwamba uzuri wake na utajiri vinatokana na kuwa illuminant
 
Tutaamini vip km ndo ametoka kulala isije ikawa ndo anataka kulala mdau apo vipi
.
 
573-1024-x-768.jpg
 
Back
Top Bottom