Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Mungu alinganishwi na MTU yyte kuwa yy ni Wa kipekee nafikili dunia imefika mwisho kama ilivyoandikwa
 
Ni rumors tu zilizotengenezwa na media....hakuna ukweli wowote...
 
Ni rumors tu zilizotengenezwa na media....hakuna ukweli wowote...
Jamaangu naona wewe umekuwa kama Tomaso huamini mpaka ushike!

Hebu nenda YouTube angalia inavyozungumziwa, pia nenda kwenye Google ndio utajua kama ni kweli au la?

Ni kanisa aliyoanzisha muda mrefu na wala sio mwaka huu imekuwepo tokea 2014, na wafuasi wake ni akina kanye west ambae anajiita yeesu.

Sasa kama hutaki labda uwe mfuasi wake na wewe ukubali kulitangaza na kulieneza barani Africa.
 
Hizi ni Nyakati za mwisho, yote aliyoyasema Bwana Yesu Yameshatimia, hawa wanamuziki wote ni Mashetani na miziki yao ina Mapepo yanayo waingia vijana na kuwaharibu kabisa, ndiyo maana tunawaona vijana wengi wameharibika kutokana na hawa watu.

Kila staili zinazofanywa na hawa mashetani utakuta vijana wanaiga kumbe wanamsujudia shetani bila wao kujijua.

Nawaasa vijana kuachana na vitu vya hawa mabalozi wa shetani, utakuta kijana Anafuraia biti ya mziki wa 50 cent lakina hajui maneno yanayoimbwa yana maanisha nini, kumbe unaambiwa shetani ndiyo mungu wako na wewe unashangilia bila kujua kwamba umeingizwa kwenye Agano na shetani na anaanzakupata uhalali katika maisha yako na kukufanya mtumwa wake.

Mnawapa shida watumishi wa Mungu kuwatoa mapepo ambayo mliyaingiza wenyewe bila kujijua. Tuache kuiga iga mambo ya hawa mashetani.
 
Beyonce now Goddess currently being WORSHIPPED by her followers:

Have you heard of a new "church" called, “The National Church of Bey” or Church of Beyoncé?.

US music star Beyonce Knowles is not only the singer admired by millions of people from all over the world, but also an object of worship by a group of people, the followers of National Church of Bey. The newly-made religion is called Beyism.

In this US Church, Beyoncé images are reportedly being worshipped as Christians worship Jesus. There are also statues of Beyoncé dressed as Pope, she has a prayer candle bearing her photo. See pictures below.

The followers has labeled Beyonce a Divine Diva and portrayed her a walking, talking, breathing Goddess who shows you her true form daily. She is also referred to as "Mother Bey" (ie Mother Beyoncé). They have their own bible called "Beyble" see picture below.

You may Google "Church of Bey" (ie Church of Beyonce), "The National Church Of Bey" for multiple web links about this church or simply browse the link below to see for yourself:

The National Church Of Bey

WebLink:
www.national-church-of-bey.tumblr.com

Beyoncé's childhood pastor Rudy Rasmus has defended Beyoncé with The words of Joshua 24:15 after Beyonce donated $7million dollars to his church. The founder of the church of Bey claims the number of its followers have increased!

***Hmmmmmm...!!!! The END TIME is near if not here!View attachment 332704
 
Duniani kuna wapuuzi wengi sana aisee
 
Sidhani kama ni kweli
Hio ni art work Hakuna kitu kama hicho
Inawezekana ni background picture ya cover ya album yake.. Hawezi fanya hivo

Nakubaliana na wewe. Hakuna kitu kama hicho, ni mchezo tu wa kompyuta.
 
Umewahi kusikia kuhusu kanisa jipya linanoitwa 'The national church of Bey'?

Msanii Beyonce knowles wa Marekani ameacha maswali mengi baada ya kuanzisha kanisa lake na kuliita "The national church of Bey" means church of Beyonce.
Ambapo yeye ndio Mungu wa kanisa hilo na maelfu ya watu wanamuabudu kwa jina la "mother Bey"

Katika kànisa hilo kuna picha ya Beyonce akionekana na Vazi la yesu, na nyingine akiwa na vazi LA papa wa dhehebu LA RC.

Amekuwa akiitwa Mungu wa kike.. Na dini yake inaitwa "Beyism" ambapo pia wanatumia biblia yao inayoitwa Beyble, inamzungumzia Beyonce kama mwanamke mwenye uwezo wa ajabu kama Mungu na kuamua kumuita Goddess..

Dini hiyo ya Beyism ina waumini maelfu ambapo inaonesha baadhi ya wafuasi wa Mungu huyo Beyonce, watu maarufu kama Kanye west, Mariah carrey na wengine.

Tazama baadhi ya picha hzo




 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…