Beyonce kaanzisha kanisa lake?

Beyonce kaanzisha kanisa lake?

katika ukristo ni kitu cha kawaida! kama watu wanamuabudu yule hollywood star na kuweka picha zake hadi makanisani sintoshangaa hili la biyonce au kanye! au kwasbabu hawa ni weusi, anayefaa kuabudiwa awe mzungu tu!
 
Nani kakuambia shetan atachukua ulimwengu?waislam wapo na ndio wapinzani wakubwa wa shetani sasa vita inaendelea islam vs shetan subir mpira uishe.
Na kweli naona vita imepamba moto Ubelgiji na ufaransa, watu wanafumuliwa mabomu kwa kwenda mbele, waislam ni noma
 
Hilo kanisa na waumini wake wanaamini katika kitu gani? kwamba wanamwamini Mungu au shetani? na ili malengo yao yatimie inatakiwa wafanye nini?

Mfano mimi namwamini sana Yohana mbatizaji na nategemea imani ya yohana ndo imani yangu na kama Yohana alikuwa katika njia za haki za Mungu, basi na mimi niko katika njia za haki
Aisee nimeona Jana ikabidi nifuatilia kujua kama ni kweli!

Wanamwamini Beyonce, kuna sehemu katika Bible yake inayoitwa beyble inasema "did you believe Beyonce is you're Lord and savior...
 
katika ukristo ni kitu cha kawaida! kama watu wanamuabudu yule hollywood star na kuweka picha zake hadi makanisani sintoshangaa hili la biyonce au kanye! au kwasbabu hawa ni weusi, anayefaa kuabudiwa awe mzungu tu!
Brian O'Connor au mel gibson
 
Aisee nimeona Jana ikabidi nifuatilia kujua kama ni kweli!

Wanamwamini Beyonce, kuna sehemu katika Bible yake inayoitwa beyble inasema "did you believe Beyonce is you're Lord and savior...
hivi hapa bongo hamna tawi la hilo kanisa? nafikiri ni vizuri tawi lakafunguliwa hapa DSM
 
Mungu anakata mauno vile! Lazima nijiunge hiyo dini. Siyo hizi dini zenu boring, naamini kwa Beyonce kwanza mnapata lap-dance kisha mnaendelea na ibada. Pata picha kanisa limepambwa stripers kuanzia mlangoni mpaka madhabahuni, hapo lazima utoe sadaka.
 
Watu wengine dhambi zao ni kubwa mno watachomwa kwa magogo ya mti wa mbuyu
Mnh! mbuyu sio hao wanafaa kuchovywa kwenye uji wa shaba ichemkayo!.
Lakini tusiahau pia kuwatakia msamaha kwa mungu kwa kuwa ni bin adam kufanya makosa ni jambo tegemewa, ila dah ni too much.
 
Kwa ujumla ata wale mnaowaamini kuna wengine walijitangazia kama huyu mwanadada alivyofanya. Tunazijua dini za waliojitangaza au kwa sababu hamkuwepo ndo maana mnaamini?
 
Wagalatia mna mizaha sanaa !
Jesus facebook.png
 
Back
Top Bottom