Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweli naona vita imepamba moto Ubelgiji na ufaransa, watu wanafumuliwa mabomu kwa kwenda mbele, waislam ni nomaNani kakuambia shetan atachukua ulimwengu?waislam wapo na ndio wapinzani wakubwa wa shetani sasa vita inaendelea islam vs shetan subir mpira uishe.
Aisee nimeona Jana ikabidi nifuatilia kujua kama ni kweli!Hilo kanisa na waumini wake wanaamini katika kitu gani? kwamba wanamwamini Mungu au shetani? na ili malengo yao yatimie inatakiwa wafanye nini?
Mfano mimi namwamini sana Yohana mbatizaji na nategemea imani ya yohana ndo imani yangu na kama Yohana alikuwa katika njia za haki za Mungu, basi na mimi niko katika njia za haki
Nakuunga mkono kama tutahukumiwa kwa uzito wa dhambi basi mi ni mtakatifu.In case tutahukumiwa kwa comparison nimeshaiona paradise mpaka sasa!
Brian O'Connor au mel gibsonkatika ukristo ni kitu cha kawaida! kama watu wanamuabudu yule hollywood star na kuweka picha zake hadi makanisani sintoshangaa hili la biyonce au kanye! au kwasbabu hawa ni weusi, anayefaa kuabudiwa awe mzungu tu!
safi saanaAmeanzisha kanisa na yeye ndiye mungu wa kike [emoji15] [emoji15] [emoji15]
mungu beyoncemungu gani amebusti maziwa
hivi hapa bongo hamna tawi la hilo kanisa? nafikiri ni vizuri tawi lakafunguliwa hapa DSMAisee nimeona Jana ikabidi nifuatilia kujua kama ni kweli!
Wanamwamini Beyonce, kuna sehemu katika Bible yake inayoitwa beyble inasema "did you believe Beyonce is you're Lord and savior...
Mnh! mbuyu sio hao wanafaa kuchovywa kwenye uji wa shaba ichemkayo!.Watu wengine dhambi zao ni kubwa mno watachomwa kwa magogo ya mti wa mbuyu